Uchaguzi wa Marekani 2024: Mwongozo rahisi sana wa kura ya urais - BBC News Swahili (2024)

Uchaguzi wa Marekani 2024: Mwongozo rahisi sana wa kura ya urais - BBC News Swahili (1)

Wamarekani watapiga kura mwezi Novemba kumchagua rais ajaye wa Marekani. Kura hiyo itafuatiliwa kwa karibu kote ulimwenguni.

Pia watakuwa wakipigia kura wabunge wa Baraza la Congress, ambao wanachukua sehemu muhimu katika kupitisha sheria ambazo zinaweza kuwa na athari kubwa kwa maisha ya Marekani.

Uchaguzi ujao wa rais wa Marekani ni lini?

Uchaguzi wa 2024 utakuwa Jumanne, tarehe 5 Novemba 2024. Mshindi atahudumu kwa muda wa miaka minne katika Ikulu ya White House, kuanzia Januari 2025.

Rais ana uwezo wa kupitisha baadhi ya sheria peke yake lakini zaidi lazima ashirikiane na Congress kupitisha sheria.

Katika hatua ya dunia, kiongozi wa Marekani ana uhuru mkubwa wa kuwakilisha nchi nje ya nchi na kubuni sera za kigeni.

Unaweza pia kusoma:

Wagombea ni akina nani na wanateuliwa vipi?

Vyama viwili vikuu huteua mgombea urais kwa kupigia kura msururu wa kura zinazoitwa chaguzi za mchujo za majimbo na vikao, ambapo watu huchagua wanayemtaka kukisimamia chama katika uchaguzi mkuu.

Katika Chama cha Republican, Rais wa zamani Donald Trump alipata uungwaji mkono wa chama chake kwa kupata uungwaji mkono mkubwa dhidi ya wapinzani wake. Akawa mteule rasmi wa Republican katika kongamano la chama huko Milwaukee, Wisconsin.

Kwa Democrats, Makamu wa Rais Kamala Harris anakaribia uteuzi. Alijiunga na kinyang'anyiro hicho baada ya Rais Joe Biden kujiondoa.

Bi Harris anaonekana kuwa na uungwaji mkono usiopingika ndani ya chama chake na anaweza kuidhinishwa katika kongamano lake mwezi Agosti, huko Chicago.

Pia kuna baadhi ya wagombea binafsi wanaowania urais, akiwemo Robert F Kennedy Jr, mpwa wa rais wa zamani John F Kennedy.

Je, Democrats na Republicans wanasimamia nini?

Democrats ni chama cha huria cha kisiasa, chenye ajenda iliyofafanuliwa kwa kiasi kikubwa na msukumo wake wa haki za kiraia, usalama wa kijamii na hatua za kushughulikia mabadiliko ya hali ya tabia nchi.

Republican ni chama cha kisiasa cha kihafidhina nchini Marekani. Pia kinajulikana kama GOP, au Grand Old Party, kimetetea kodi ya chini, kupunguza ukubwa wa serikali, haki za bunduki na vikwazo vikali zaidi kwa uhamiaji na utoaji mimba.

Je, uchaguzi wa rais wa Marekani unafafanyika vipi?

Mshindi sio mtu ambaye anapata kura nyingi kote nchini.

Badala yake, wagombea wote wawili hushindana ili kushinda mashindano yanayofanyika katika majimbo 50.

Kila jimbo lina idadi fulani ya kinachojulikana kama kura za chuo cha uchaguzi kulingana na idadi ya watu. Kuna jumla ya kura 538 , na mshindi ni mgombea ambaye atashinda 270 au zaidi.

Majimbo yote isipokuwa mawili yana kanuni ya mshindi-wote, kwa hivyo mgombea yeyote atayeshinda idadi kubwa zaidi ya kura hutunukiwa kura zote za chuo cha uchaguzi cha jimbo.

Majimbo mengi yanaegemea sana upande mmoja au mwingine, kwa hivyo mwelekeo huwa katika majimbo kadhaa au hivyo lengo huwa ni kupata ushindi katika majimbo kama 12 . Haya hujulikana z kama uwanja wa vita au swing states [Majimbo yenye kura zisizotabirika]

Inawezekana kwa mgombea kushinda kura nyingi zaidi kitaifa - kama Hillary Clinton alivyofanya mwaka wa 2016 - lakini bado ashindwe katika chuo cha uchaguzi.

Nani mwingine anachaguliwa?

Macho yote yatakuwa ni kwa nani atakayeshinda urais, lakini wapiga kura pia watakuwa wakichagua wanachama wapya wa Congress - ambako sheria zinapitishwa – watakapokuwa wakijaza karatasi za kura.

Bunge la Congress linajumuisha Baraza la Wawakilishi, huku viti vyote 435 vikitarajiwa kukupigiwa kura, na Seneti, ambapo viti 34 vinagombaniwa.

Warepublican kwa sasa wanadhibiti Ikulu, ambayo huanzisha mipango ya matumizi. Wanademocrat wanasimamia Seneti, ambayo hupigia kura uteuzi muhimu serikalini.

Mabunge haya mawili yanapitisha sheria na yanaweza kuwa kama ukaguzi wa mipango ya Ikulu ya Marekani iwapo chama tawala katika bungee lolote halikubaliani na rais.

Ni lini tutajua nani ameshinda uchaguzi?

Kawaida mshindi hutangazwa usiku wa uchaguzi, lakini mnamo 2020 ilichukua siku chache kuhesabu kura zote.

Kipindi cha baada ya uchaguzi kinajulikana kama mpito ikiwa kuna mabadiliko ya rais.

Ni wakati wa utawala mpya, ikiwa ni pamoja na mawaziri, kuunda na kupanga mipango ya muhula mpya.

Rais anaapishwa rasmi kushika wadhifa huo mwezi Januari katika hafla inayojulikana kama kuapishwa, inayofanyika kwenye ngazi za jengo la Capitol - Washington DC.

Nani anaweza kupiga kura?

Ikiwa wewe ni raia wa Marekani na una umri wa miaka 18 au zaidi, unapaswa kuwa umetimiza masharti ya kupiga kura katika uchaguzi wa urais, ambao hufanyika kila baada ya miaka minne.

Unaweza pia kusoma:
  • Wajue wagombea wa urais Marekani waliogombea wakiwa gerezani

  • Marais wa Marekani waliouawa na walionusurika kuuawa wakiwa wagombea

Imetafsiriwa na Dinah Gahamanyi

Uchaguzi wa Marekani 2024: Mwongozo rahisi sana wa kura ya urais - BBC News Swahili (2024)

References

Top Articles
Paving the Way: How Lana Del Rey Inspired Billie Eilish’s Debut
Is a No-Carb Diet Even Possible?
Express Pay Cspire
Dlnet Retiree Login
Belle Meade Barbershop | Uncle Classic Barbershop | Nashville Barbers
The 10 Best Restaurants In Freiburg Germany
Georgia Vehicle Registration Fees Calculator
Cumberland Maryland Craigslist
Lenscrafters Westchester Mall
GAY (and stinky) DOGS [scat] by Entomb
Compare the Samsung Galaxy S24 - 256GB - Cobalt Violet vs Apple iPhone 16 Pro - 128GB - Desert Titanium | AT&T
Premier Boating Center Conroe
Craigslist Dog Kennels For Sale
Hartford Healthcare Employee Tools
Local Dog Boarding Kennels Near Me
Bowlero (BOWL) Earnings Date and Reports 2024
Youravon Comcom
Bcbs Prefix List Phone Numbers
Conan Exiles: Nahrung und Trinken finden und herstellen
Boxer Puppies For Sale In Amish Country Ohio
Craigslist Apartments In Philly
JVID Rina sauce set1
Publix Near 12401 International Drive
Nottingham Forest News Now
Sinfuldeed Leaked
Best Restaurants Ventnor
Greyson Alexander Thorn
FSA Award Package
91 Octane Gas Prices Near Me
Account Now Login In
Laveen Modern Dentistry And Orthodontics Laveen Village Az
Halsted Bus Tracker
Alima Becker
Golden Tickets
Composite Function Calculator + Online Solver With Free Steps
Audi Q3 | 2023 - 2024 | De Waal Autogroep
2008 Chevrolet Corvette for sale - Houston, TX - craigslist
Pitchfork's Top 200 of the 2010s: 50-1 (clips)
Can You Buy Pedialyte On Food Stamps
ENDOCRINOLOGY-PSR in Lewes, DE for Beebe Healthcare
Nearest Ups Office To Me
Ferguson Employee Pipeline
Ferguson Showroom West Chester Pa
Saline Inmate Roster
Mitchell Kronish Obituary
Here's Everything You Need to Know About Baby Ariel
How To Customise Mii QR Codes in Tomodachi Life?
Catchvideo Chrome Extension
2000 Ford F-150 for sale - Scottsdale, AZ - craigslist
What Does the Death Card Mean in Tarot?
Joe Bartosik Ms
Latest Posts
Article information

Author: Virgilio Hermann JD

Last Updated:

Views: 6106

Rating: 4 / 5 (61 voted)

Reviews: 92% of readers found this page helpful

Author information

Name: Virgilio Hermann JD

Birthday: 1997-12-21

Address: 6946 Schoen Cove, Sipesshire, MO 55944

Phone: +3763365785260

Job: Accounting Engineer

Hobby: Web surfing, Rafting, Dowsing, Stand-up comedy, Ghost hunting, Swimming, Amateur radio

Introduction: My name is Virgilio Hermann JD, I am a fine, gifted, beautiful, encouraging, kind, talented, zealous person who loves writing and wants to share my knowledge and understanding with you.